Description
X8 Mini Battery IP Camera (Wi-Fi)
Kamera ndogo lakini yenye uwezo mkubwa wa ulinzi kwa nyumba, ofisi au duka.
Sifa Kuu:
✅ Inaunganishwa na Wi-Fi (uone live kupitia simu)
✅ Battery powered – haina waya
✅ Ubora wa video (HD)
✅ Night Vision – huona hata gizani
✅ Motion Detection – inarekodi ikihisi mwendo
✅ Inafanya kazi na Android & iPhone
✅ Ina magnetic stand rahisi kufunga






There are no reviews yet.