Extra Strong Peeling Oil 110ml
TZS 35,000.00
TZS 65,000.00
-30%Extra Strong Peeling Oil Scar Removal Stretch Mark Exfoliating Solution Whitening Yellow Peeling oil Main Ingredient: Other, rosemary essential oil, tea tree, violet, orange Function: Regeneration, blackhead removal, Other, refreshing moisturizer, anti-wrinkle revitalizing, anti-aging wrinkle removal, whitening, firming, moisturizing, brightening
SKU: EXTRA-STRONG-PEELING OIL-110ML
Brand: Faith Select
Category: health-beauty
Usafiri wa uhakika Tanzania nzima
COD, Pesapal, au Bank Deposit
Gharama ya usafiri hutegemea eneo
In Stock Now
FAIDA ZA BIDHAA
- Hii unaweza kutumia hadi usoni
- Inaondoa discoloration kwa kubandua ngozi yenye discoloration
- Inafanya kazi kwa kuondoa gamba la juu la ngozi lenye seli zilizokufa ( epidermal layer)
- Unaitumia kwa siku 3 tu
- baada ya hapo unaiacha ifanye kazi
- Inaondoa matatizo ya ngozi kwa haraka Sana
- Uhaipaka popote penye tatizo hata kama hamna tatizo
- Mfano unamadoa miguuni ukiipaka sehem yenye madoa ngoz inabanduka panabaki smooth ndan ya wiki au wiki mbili tu unasahau kam ulikua na madoa
- kuna wale cream zinagoma kufanya kazi
- hii inafanya exfoliation kwa ndani zaidi... inaondoa gamba la juu la ngozi lililojaa seli zilizokufa yani Gamba la juu la ngozi lisilosikia mafuta
- Unaipaka sehem yeyote ya mwili unayotaka kama kwenye sugu
- viwiko
- katikati ya mapaja
- kwenye makalio
- magotini n.k
INAFAA KWA
Inafaa kwa mtu yeyote anayehitaji bidhaa bora kwa bei nafuu.