Kuweka Oda
Kwa kuagiza, unathibitisha kuwa taarifa ulizoweka ni sahihi. Oda inaweza kuthibitishwa kwa simu kabla ya kutumwa.
Stock Ipo | Usafiri Tanzania Nzima | COD • Pesapal • Bank Deposit +255653670590
Faith Online Shop
Haya ni masharti ya jumla ya kutumia duka letu mtandaoni. Yameandikwa kwa lugha rahisi kwa ufahamu wa wateja.
Kwa kuagiza, unathibitisha kuwa taarifa ulizoweka ni sahihi. Oda inaweza kuthibitishwa kwa simu kabla ya kutumwa.
Bei na stock vinaweza kubadilika kulingana na upatikanaji wa bidhaa bila taarifa ya mapema.
Tunaweza kukataa au kughairi oda ikiwa kuna hitilafu ya bei, taarifa zisizo kamili, au bidhaa kuisha.
Kwa maswali kuhusu masharti haya, tumia ukurasa wa mawasiliano. Tutakusaidia haraka.