Data Tunazochukua
Tunachukua taarifa za msingi za oda kama jina, simu, mkoa/mji, na anuani ya usafiri.
Stock Ipo | Usafiri Tanzania Nzima | COD • Pesapal • Bank Deposit +255653670590
Faith Online Shop
Tunaheshimu faragha yako. Sera hii inaeleza kwa ujumla data tunazokusanya na jinsi tunavyoitumia kwenye huduma za oda.
Tunachukua taarifa za msingi za oda kama jina, simu, mkoa/mji, na anuani ya usafiri.
Taarifa hutumika kuthibitisha oda, kupanga delivery, na kuwasiliana kuhusu hali ya oda.
Tunazingatia usalama wa taarifa kwa kutumia mifumo salama na kufikia data kwa wahusika wachache wanaohusika na oda.
Ikiwa una swali kuhusu faragha ya data yako, wasiliana nasi kupitia ukurasa wa Contact.