Gharama ya Usafiri
Dar es Salaam: gharama huanzia TZS 3,000.00 hadi TZS 26,000.00kulingana na area. Mikoani: flat rate ya TZS 10,000.00.
Stock Ipo | Usafiri Tanzania Nzima | COD • Pesapal • M-Pesa / Bank Transfer +255653670590
Faith Online Shop
Tunalenga kupeleka oda kwa haraka na kwa urahisi kwa wateja wote Tanzania. Hii ni taarifa ya jumla ya namna usafiri wetu unavyofanya kazi.
Dar es Salaam: gharama huanzia TZS 3,000.00 hadi TZS 26,000.00kulingana na area. Mikoani: flat rate ya TZS 10,000.00.
Dar es Salaam mara nyingi ni siku 1-2. Mikoa mingine mara nyingi ni siku 2-5 kutegemea umbali na ratiba ya usafiri.
Kwa maelekezo ya sasa: kuanzia delivery ya 4,000 na kuendelea imeongezwa 1,000.
| Area / Route | Final Fee |
|---|---|
Area 1 Bibi Titi / Morogoro | TZS 3,000.00 |
Area 2 Uhuru St | TZS 3,000.00 |
Area 3 Nyerere 1 Imewekwa kwenye band ya karibu ya mjini. | TZS 3,000.00 |
Area 4 Nyerere 2 | TZS 6,000.00 |
Area 5 Mandela Rd | TZS 9,000.00 |
Area 6 Morogoro 1 | TZS 5,000.00 |
Area 7 Morogoro 2 | TZS 6,000.00 |
Area 8 Bagamoyo 1 | TZS 5,000.00 |
Area 9 Bagamoyo 2 | TZS 10,000.00 |
Area 10 Bagamoyo 3 | TZS 24,000.00 |
Area 11 Kilwa Rd 1 | TZS 8,000.00 |
Area 12 Kilwa Rd 2 | TZS 11,000.00 |
Area 13 Nyerere 3 | TZS 8,000.00 |
Area 14 Nyerere 4 | TZS 21,000.00 |
Area 15 Morogoro 3 | TZS 10,000.00 |
Area 16 Morogoro 4 | TZS 26,000.00 |
Area 18 Kigamboni 1 | TZS 11,000.00 |
Mbezi (Mpigi Magoye route) | TZS 21,000.00 |
Mikoa yote nje ya Dar es Salaam: TZS 10,000.00 (flat rate).
Oda nyingi huthibitishwa kwa simu au WhatsApp kabla ya kutumwa. Tafadhali hakikisha namba ya simu ni sahihi ili kuepusha kuchelewa.
Tunakubali Cash on Delivery, Pesapal, na M-Pesa / Bank Transfer. Kwa installment, unaweza kulipa kiasi cha awali na kumalizia kabla ya kuchukua oda.